Arteta akamilisha usajili wa beki Arsenal Wednesday, January 29, 2020 Klabu ya Arsenal imefanikiwa kumsajili beki Pablo Mari kutoka Flamengo kwa mkopo.Thamani ya beki huyo ni £12m, ila Arsenal wamelipa £4m kama ada ya mkopo ambapo kunakipengele cha kumnunua jumla majira ya kiangazi kwa £8m. 0CommentsPost a Comment
0Comments
Post a Comment