Back to Top

Balozi mpya Wa Tanzania nchini Afrika Kusini akabidhi hati ya utambulisho kwa Rais Ramaphosa

 Wednesday, January 29, 2020   


Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi  amekabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Pretoria. Pamoja na Balozi wa Tanzania, mabalozi wengine 11 toka nchi za mbali mbali duniani nao walikabidhi hati zao za  utambulisho tayari kuanza kufanya kazi katika nchi hiyo.

0Comments

Post a Comment