Zaidi ya watu 1,000 waokolewa kwenye mafuriko Kilwa
Wednesday, January 29, 2020
Zaidi ya Watu 4000 Wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi wameathirika na mafuriko kufuatia mvua inayoendelea kunyesha, Watu kumi wamethibitika kufariki mpaka sasa huku Wananchi wakidai kupotelewa na Ndugu zao.
Zaidi ya Watu 1000 wameokolewa kutoka kwenye paa za bati, juu ya miti na sehemu nyingine ambazo walijihifadhi kukwepa mafuriko na sasa wanahifadhiwa katika Shule ya Msingi Kipindimbi ambayo imefungwa kwa muda.

0Comments
Post a Comment