Waziri mkuu wa Qatar ajiuzulu
Wednesday, January 29, 2020
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika rasmi la habari la Qatar ,QNA, kupitia ukurasa wao wa Twitter limeandika kwamba Al Sani amejiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mkuu.
Naye Amir wa Qatar, Sheykh Temim bin Hamed Al Sani alikubali kujiuzulu huko na amemteua Halid bin Halife bin Abdulaziz Al Sani kuwa waziri mkuu mpya.
Naye Amir wa Qatar, Sheykh Temim bin Hamed Al Sani alikubali kujiuzulu huko na amemteua Halid bin Halife bin Abdulaziz Al Sani kuwa waziri mkuu mpya.

0Comments
Post a Comment