Back to Top

JPM amtembelea hospitali waziri mkuu mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim kumjulia hali

 Thursday, January 30, 2020   


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam .



Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu Nchini Uingereza.

0Comments

Post a Comment