Rais Magufuli afanya uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje Thursday, February 06, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi(Kanali) Wilbert Augustine Ibuge kuwa katibu mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki. 0CommentsPost a Comment
0Comments
Post a Comment