Back to Top

Viza ya utalii wa kujifungua yafutwa Marekani

Friday, January 24, 2020   

Ikulu ya Marekani imetangaza kwamba kuanzia Januari 24, wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo haitatoa tena viza ya matembezi B-1/B-2 ambayo ni mahususi kwa kinamama wajawazito wanaodhuru nchini humo kwa ajili ya kwenda kujifungua.

Utawala wa Donald Trump umepiga hatua ya kwanza katika kuleta sheria mpya itakayoodoa viza kwa ajili ya utalii wa kujifungua.

Taarifa ya maandishi iliyotolewa na Ikulu ya Marekani inasema “Kuanzia Januari 24 wizara ya mambo ya nje haitatoa tena viza (B-1, B2) kwa ajili ya utalii wa kujifungua, ambayo ilikuwa ikiwawezesha watoto wanaozaliwa kusalia moja kwa moja katika nchi hiyo na baadae kupata ur

0Comments

Post a Comment