Maalim Seif kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uongozi katika chama cha ACT-Wazalendo
Wednesday, January 29, 2020
Kesho siku ya Alkhamis, tarehe 30/01/2020 saa 5.00 asubuhi, Maalim Seif Sharif Hamad anatarajia kuchukua fomu ya kugombea nafasi mojawapo kati ya nafasi za uongozi zilizotangazwa kugombewa katika Chama Cha ACT Wazalendo. Shughuli hiyo itafanyika Ofisi Ndogo ya Chama iliyopo Vuga, Zanzibar.


0Comments
Post a Comment