Diva amvaa Diamond "NIKOME mi nikitaka kazi siongei na wewe na ongea na aliekuajiri"
Mwanadada mtangazaji wa redio kupitia kipindi cha Ala za roho Diva amejikuta akitoa ya moyoni msanii wa muziki wa kizazi kipya Daimond Platnum na kumwambia kwanza alipe milioni 500 za mkopo na awalipe wafanyakazi wake.
Kauli hiyo imekuja baada ya Diva kuona mahojiano aliyofanyiwa msanii huyo huku akimtaja Diva kuwa anampigia simu za kumsumbua akitaka amuajili katika kituo chake cha redio cha Wasafi TV.
Kupitia akaunti yake ya instagram diva aliandika hivi;
Lione @diamondplatnumz linavyojimwamba fy na uongo na domo lake ka funiko la choo , hio radio na tv ni vyako?? ππππ ati kanipigia simu .. nimecheka nakumbuka ulivyomkana hamisaa na mimba enzi zile na mtoto afu ukaja sema mtoto wangu oh bla blah πππππ yan hili jamaa linaumwa ugonjwa wa kiki .. kwel umepanik ππ ila hongera sikuhizi unajua english kidogo imenisumbua sana aisee πππ asa naomba edit uongo onyesha simu ninazokusumbua kuomba kazi kwan kwanza we una miliki hivyo vitu ππππ ni vyako? nakuja fanya kaz kwa content ipi ya kiki? ππππ Naomba ni dedicate wimbo wa Alikiba Chaku apo ulipo kwanza Jikune πππLilian mwasha alinichek yeye think stil have a chat ... jaman ati siongei uongo asa apo unaongea nn? .. asa we nani akujui kwa uongo .. NIKOME mi nikitaka kazi siongei na wewe na ongea na aliekuajiri straight up , btw kipindi changu kila stage nilishirikisha ma boss wangu mpaka naenda dstv kukipeleka 2 hours nimekaa na uongozi wa dstv for keeping up with diva ... asa kwanza ata mswaki umepiga kweli? maana unaongea uongo ili tu uzime kiki ya Alikiba kipenzi cha watu nampost na harmonize wimbo mpya yan we jamaa hasara tupu .. afu uko ka skeleton ona ulivyo pauka ... afu umekunywa dawa leo kweli? clown ππππ asa kwa taarifa yako #alazaroho si yangu ni ya ofisi unataka niibeba na behewa kama unavyobeba watu bure kwenye show zako uonekane umejaza? kwanza Post show za kigoma kwanza πππ ila nakupa stress sana Jamaa .. lioneee lilivyojikaushaaaa kalipe kwanza mil 500 za mkopo na lipa wafanyakaz wako wanadaiwa nyumba haha ππ afu msikiti wa kigoma hujajenga umemalizia tu kidogo ... basi ukaanza jisifu yan we jamaa unaumwaaaa kiki yan ulitaka kweli nikupe kiki aya mekupost Mzee Mwenzangu .... ππππ Yan iv never seen mtu anapenda attention kama huyu paka ππ asa umenisamehe kwan mi nimekuomba msamaha? maana umeunga maneno apo


0Comments
Post a Comment