Monday, February 10, 2020
Zaidi ya Wamarekani milioni 147 waliathiriwa mwaka 2017 wakati wanaodaiwa kuwa ni wadukuzi, ambao ni wajumbe wa Jeshi la Ukombozi la Wachina (PLA), lilipoiba data mkiwemo majina na anwani
Baadhi ya wateja wa Uingereza na Canada pia waliathiriwa.
" Huu ni moja ya uingiliwaji mkubwa wa data katika ," alisema Mwanasheria Mkuu William Barr.
Equifax ilisema kuwa wadukuzi walizifikia taarifa katikati ya mwezi Mei na mwishoni mwa mwezi Julai 2017 wakati kampuni ilipogundua uingiliaji huo wa data.
Kampuni ya Equifax inatunza data za watu zaidi ya 91 milioni.
Katika taarifa yake Bwana Barr alisema: "Huu ulikua ni uingiliaji wa makusudi wa taarifa za kibinafsi za watu wa Marekani.
"Leo tunawawajibisha wadukuzi wa PLA kwa vitendo vyao vya uhalifu, na tunaikumbusha serikali ya Uchina kwamba tunauwezo wa kubaini alama zao za siri na kuwapata wadukuzi ambao taifa linawatuma mara kwa mara dhidi yetu ."
Equifax ilisema kuwa wadukuzi waliingilia taarifa zake katikati mwa mwezi Mei na mwezi Julai 2017 wakati kampuni ilipogundua uingiliaji huo.
Washukiwa wanadaiwa kuwa waliingia kwenye hifadhi 34 za takriban nchi 20 kujaribu kuficha ni wapi hasa walipo.
Naibu Mkurugenzi wa FBI David Bowdich alisema kuwa hapakuwa na ushahidi hadi sasa wa kutumiwa kwa data hizo katika wizi wa akaunti binafsi za benki au kadi za benki.
Baada ya kutambuliwa kwa mdukuzi, Equifax ililipa tozo la faini ya dola milioni $700m kwa kamati ya Shirikisho ya Biashara.
Wadhinbiti wa Marekani walidai wanasema kampuni hiyo yenye makao yake Atlanta ilishindwa kuingilia kati kuulinda mtandao wao.
Takriban dola milioni $300 zililipwa ili kumaliza tatizo la wizi wa huduma za utambulisho na gharama nyingine husika za waathiriwa.
Katika taarifa Bwana Barr alisema: "Huu ulikua ni uingiliaji wa makusudi wa taarifa za kibinafsi za watu wa Marekani.
Uchina bado haijatoa maelezo yoyote juu ya mashtaka hayo.

Wednesday, February 06, 2020
Biashara nyingi hutumia njia na mbinu mbalimbali kujitangaza ili kuongeza ufahamu wa biashara zao kwa wateja, kuongeza na kupanua solo la bidhaa zao lakini kubwa zaidi kukuza mapato ya biashara husika. Na moja ya njia hizo ni matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara yako.
Asilimia 90 ya wataalamu wa masoko wanakiri kuwa mitandao ya kijamii ina nguvu sana katika kutangaza biashara na imekuwa ikionesha matokeo chanya katika biashara zao. Baadhi ya mitandao ya kijamii inayotumika sana katika matangazo ya biashara ni kama Facebook, Instagram, Twitter, Blogs, youtube, linkedin, n.k
Mitandao ya kijamii sasa imekuwa nguzo muhimu sana kama moja ya mikakati inayotumika ya kutangaza biashara na biashara zisizotumia mitandao ya kijamii inakosa fursa muhimu na makini sana katika kupanua masoko ya biashara zao.
Faida za kutumia mitandao ya kijamii kutangaza biashara yako;
Inachangia kufahamika zaidi kwa biashara yako.
Mitandao ya kijamii ni moja ya njia za kutangaza biashara yako kwa gharama nafuu zaidi na inauhakika wa kuwafikia wateja wengi zaidi, kwani asilimia kubwa ya watu wengi sasa hivi wanatumia muda mwingi sana katika mitandao ya kijamii hivyo kutumia mitandao ya kijamii kutangaza biashara yako kutakuongezea idadi ya wateja na watu wenye ufahamu wa kutosha kuhusu biashara yako kwa ujumla.
Inapanua wigo wa kupata wateja wapya tofauti na wale wanaokuzunguka
Kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kutangaza biashara yako kunakuongezea wigo wa wateja wapya ambao ni vigumu kufahamu kuhusu biashara yako kwani wako mbali na eneo la biashara husika lakini mitandao ya kijamii inakupatia nafasi ya watu wote watakao kutuna na tangazo la biashara yako kuifahamu na kushawishika kutumia bidhaa zao na hivyo kugeuka wateja wa biashara yako.
Inajenga uhusiano wa karibu na wateja wako.
Kupitia ukaribu unaojengeka baina ya biashara yako na wateja wako hii inasaidia kuweka ukaribu wa kusikiliza maoni, shida na kutafuta ufumbuzi kiurahisi wa kero za wateja wako kwani kwa urahisi kabisa wanaweza kuwasilisha maoni yao kupitia akaunti za biashara yako za mitandao ya kijamii.
Inaongeza imani na uaminifu wa watu kwenye biashara yako.
Moja ya malengo ya kila biashara ni kutengeneza wateja waaminifu na wakudumu wa bidhaa za biashara hiyo, hivyo mitandao ya kijamii kupitia ukaribu unaojengeka baina ya biashara na wateja wake na urahisi wa taarifa za biashara yako kumfikia mteja inapelekea kutengeneza wateja waaminifu na wakudumu wa biashara yako.
Inasaidia kupunguza gharama za uendeshaji wa biashara yako.
Biashara nyingi hutumia fedha nyingi sana kwa ajili ya kujitangaza na hili huonekana. Pale ambapo njia zinazotumika kutangaza biashara husika zinakuwa ni ghali sana na hivyo kuongeza gharama za uendeshaji wa biashara husika hivyo kupitia matumizi ya mitandao ya kijamii kama njia ya kujitangaza inapunguza gharama hizo za kujitangaza na kupelekea kupunguza gharama za uendeshaji wa biashara husika na kuipatia biashara nafasi nzuri ya kifedha kuikuza zaidi.
Inaongeza ufahamu wa kutosha dhidi ya soko husika na wateja wako
Kupitia ukaribu unaojengekana wateja wako katika mitandao ya kijamii na kujibkujibu comments za wateja wako katika mitandao ya kijamii hii inapelekea biashara husika kupata taarifa za kutosha za soko husika na kuipa nafasi biashara kuwa na taarifa za kutosha za wateja wake na hii inasaidia biashara kufanya maamuzi na kuweka mikakati inayohitajika kwa wakti husika na solo husika.
Hizo ni baadhi ya faida za kutumia mitandao ya kijamii kuitangaza biashara yako na Kama bado hujaanza kutumia mitandao ya kijamii kutangaza biashara yako ni vema ukaanza sasa kwani unapitwa na mengi ambayo biashara yako ingenufaika kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Thursday, February 06, 2020
Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya mambo ambayo ukiyazingatia yatakufanya wewe uwe na mnato kwa mwanamke yeyote yule.
1. Uwezo wako wa nishati
Nishati inaweza kuwa na mkusanyiko wa vitu kadhaa, kama vile kuhisi kwa vipepeo ndani ya tumbo, kusuka, wasiwasi ama vitu tofauti kabisa. Kwa mtizamo wa moja kwa moja, nishati inahusiana na yote yale ambayo yanamfanya mwanamke kujiskia raha wakati anapokuona ama kutaka kuutumia muda wake mwingi akiwa na wewe. Nishati inacheza nafasi kubwa katika mapenzi kama wataka kumtongoza mwanamke na ufaulu kwa urahisi. Ili kupeana nishati zaidi kila wakati unapokuwa na mwanamke, hakikisha kile kikuu unachohitaji kufanya ni kumchekesha, kumsapraiz, umguse kwa bahati mbaya mara kwa mara, kuwa mwenye michezo nk. Zote hizo zitamfanya kukufikiria wewe mara 24/7.
2. Mbinu utakayoitumia kumsifu
Kulingana na utafiti kutoka NBC unadai ya kwamba wanawake wengi hawajiskii huru kupewa ama kupokea sifa kutoka kwa wanaume. Lakini usikatwe na tamaa! Vile ambavyo utampongeza mwanamke inaweza kucheza pakubwa kufaulu kumpata mwanamke unayempendae baada ya muda. Afterall ukimsifu kitofauti tofauti anaweza kukubali ama kukuona kama wewe ni mzaha kwake.
So kuhepa aibu kama hizi ndogo ndogo, unafaa umsifu mwanamke kwa jambo ambalo ni la kwake pekee, yaani kitu ambacho utamsifu nacho hakipatikani kwa mwingine. Mfano waweza kumakinika kwa kitu ambacho anafanya wakati flani na utumie ujuzi wako wa kiume kumsifia na jambo hilo. Mfano unaweza kumsifu kwa uwezo wake wa kuimba, kuchora, mtindo wake wa kutembea nk.
3. Upambo wako
Si lazima uwe mwanamume wa kuvutia ili umvutie mwanamke. Utafiti umebainisha kuwa wanawake hawavutiwi na urembo wa mwanamume, nywele zake wala ngozi yake. Mwanzo kuwa mrembo kama mwanamume kuna ubaya wake mwingi ikizingatiwa kuwa unaweza kuonekana kama pleya ambaye unapendwa na wanawake wengi.
Kile ambacho unachohitajika hapa ni uhakikishe kuwa uwe nadhifu kimwili na mavazi yako. Kufanya hivi kutakusaidia wewe kuonekana mtu timamu halikadhalika inakufanya wewe kuwa na confidence ya kapproach demu yeyote yule.
4. Ujuzi wako wa kutangamana
Lazima atleast uwe na ujuzi ambao utakusaidia wewe kuweza kutangamana na wengine. Kama mwanamume lazima uwe na ujuzi ambao utakusaidia wewe kutangamana na wengine kwa urahisi. Hii inamaanisha kuwa lazima uwe na ujuzi flani wa kuongea na wanawake ndipo utakapojua jinsi ya kumfanya apagawe na wewe.
5. Kiwango chako cha kujiamini
Kitu cha mwisho ambacho ni muhimu kwako kuwa nacho ni kujiamini. Kujiamini ni njia moja wapo ya lazima uwe nayo ili uweze kuiteka hisia ya mwanamke yeyote yule
KUMBUKA: Vitu vyote tulivyoeleza hapo juu havitakuwa na manufaa yeyote yale iwapo kama hutaweza kujiamini kama mwanamume. Hivyo ni lazima kwako kuhakikisha kuwa mwanzo unajijenga kwa kuwa na confidence. Hii ni kuanzia kujitambua wewe mwenyewe bila kujishuku, kuongea bila woga wowote wala kutoingiwa na wasiwasi wakati wowote ukiwa karibu na mwanamke.

Shirika la ndege la Qatar “Qatar airways” limetangaza kwamba limeanza mazungumzo kwa ajili ya kuweza kununua asilimia 49 ya hisa za shirika la ndege la Rwanda “RwandAir”
Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, Qatar airways wameweka maelezo yaliyotolewa huko Doha na mkurugenzi mkuu wa baraza la uendeshaji la shirika hilo, Akbar al-Baker. Mkurugenzi huyo alisema wameanza mazungumzo ili kununua asilimia ya hisa za shirika la RwandAir.
Mkurugenzi huyo pia alisema kwamba kabla ya mazungumzo haya ya ununuzi wa shirika la RwandAir, walishafikia makubaliano ya kununua asilimia 60 ya uwanja mpya wa ndege utakaoj jengwa Kigali sawa na dola bilioni 1.3.